Makapuku Forum

1903 - Cuba yaikodishaMarekani, Eneo la Guantanamo Bay kwa ajili ya shughuli za kijeshi.

Eneo hilo la Guantanamo kwa mara ya kwanza ilikuwa ni kambi ya jeshi la wanamaji wa Marekani, Us Naval Base mpaka pale mwaka 2002 walipoamua kufungua gereza kwa ajili ya wafungwa wa kigaidi.

Mara baada ya mapinduzi ya Cuba ya mwaka 1959, Cuba imekuwa ikiiomba Marekani kurudishiwa eneo hilo lakini ombi lao bado halijafanikiwa.
 
Leo katika Historia:

1861 - Rais Mteule Wa Marekani, Abraham Lincoln anawasili Washington DC kwa siri kutoka Maryland mara baada ya kuwepo kwa mipango ya kutaka kumuua.

Rais Lincoln alikuja kuuwawa mwaka 1865 kwa kupigwa risasi.


Atakumbukwa kwa kile kilichoitwa Emancipation Proclamation, tamko la kukataza utumwa katika America. Na alisaidia kukijenga chama kilichipo madarakani sasa.

 
 
1981 - Gareth Barry anazaliwa.

Ni kiungo wa kati aliyewahi kukipiga Aston Villa, Man City na sasa Everton.

Pia alichezea timu ya taifa ya England.

Ni mchezaji wa pili kucheza mechi nyingi katika ligi kuu ya Uingereza mara baada ya Ryan Giggs. Amecheza mechi 617.
 

Anacheza mpira wa matokeo huwa siyo mrembaji
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…