Makapuku Forum

Blackburn Rover's 1-2 Manchester united.

Blackburn walikuwa wazuri sana haswa kwenye one against one hasa katika upande ule alikuwa anacheza Ashley Young..... Blackburn walikuwa imara sana katikati ila waliimarika zaidi pale mipira ilipokuwa inamfikia Marvin Emnes..... Move ya goli la Blackburn ni move ya timu yenye mipango mingi ya maangamizi.

Blackburn walikuwa wazuri wakati wanamiliki mpira tu..... Kwa aina yao ya ukabaji wa kukaa nyuma na kuwa subiri united wafike katika himaya yao inaweza kuwa ndio iliyosababidha wafungwe 2 tu au inawezakuwa ndio iliyosababisha wafunge 1 tu.

Blackburn walikuwa best team on the pitch ila united walikuwa best team on timing in time...... Pasi ya Mkhitaryan na pasi ya Pogba nimezielewa zimeamua matokeo ila Sergio Romero kafanya kazi kubwa kwa sekunde chache.

Next touch...... Emirate FA cup robo fainali

Chelsea vs Manchester united.
 
1923 - Forbes Burnham anazaliwa.

Rais wa pili wa Guyana. Pia alikuwa ni mwanazuoni mahiri wa Nchi hiyo.


Mwaka 2013 serikali ya Afrika Kusini ilimtunuku nishani ya juu kabisa inayoitwa Oliver Tambo Award. Tuzo hii ilipokelewa na mwanaye Roxane Van West Charles.

Burnham anatuhumiwa kukaa kimya au kuwa sehemu ya mauaji ya mwanataaluma nguli duniani hususani masuala ya Utumwa, Uhuru na Maendeleo, Dr Walter Rodney. Dr Rodney alifundisha UDSM

 
Asante mkuu kwa nyongeza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…