Makapuku Forum

Nimekosea kuweka ??? ...

Ila bado tuko mlemle hakijaaribika kitu bhinamu na mm uku nimefanya kama alivosema sina mchezo aiseeeeeh

Ewaaa bado tuko mule mule, mwenyewe wikend hii kila kitu kinakaa sawa. Uzuri dawa za hawa mafundi hazina yale masharti oooh usinywe pombe. Masharti hakuna, unaruhusiwa kukata kilaji (sema kuchangia gudulia la seriakli) kama wenye dini zao wanavyoghani mistari ya misahafu yao
 
Umeoonaaa make daaaah ingekuwa hatar mkuu weekend bila kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…