Makapuku Forum

Habari za asubuhi familia? Mmeamkaje? Mie sijambo kidogo, nasumbuliwa na kifua na mafua maana huku kwetu vumbi ni kali sana.
Pole sana ,ila tulipokea mashtaka kutoka kwa mkuu aliyekua mwenza wako ....
 
Nawatakieni maandalizi mema ya valentine halaah halaah yasikukute ya pichani ukashindwa kutoka nje kwa aibu
. [Nawapenda wote muwe na asubuhi njema.
 
Reactions: Lee

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…