Ile orodha ya pili ni ya MAPAPA au wale ni SANGARA tu?Tena Gwajima leo kaahidi maajabu na miujiza ya aina yake. Kama unajihisi kuwa una mikosi mikosi basi leo ndo siku ya kufika kwa Gwajima. Unaambiwa hata kama Makonda alikuwa anatarajia kukutaja basi jina lako hatalikumbuka tena! Ooooh tazama yote yamekuwa mapya!!!
AsanteKaribu sana
Nawe pia mr diktetaWakuu wa Jukwaa heshima kwenu. Jumapili njema
Leo Champions League niWakuu wa Jukwaa heshima kwenu. Jumapili njema
Lee empire upo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mengine mpeleka posa uwe unatunza siri [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Nawe piaKumekuchaaa[emoji350] [emoji350] [emoji350]
Msisahau kwenda kanisani kwa wale wakristo.....nawatakieni Jumapili Njema
KaribuHodiii
Vita ya Sudan kusini imeisha?Nimerudi rasmi kwenye familia[emoji61] [emoji61]
Diktetta nawe piaWakuu wa Jukwaa heshima kwenu. Jumapili njema
Hatari hiyo aisee
[emoji23] [emoji23] sadiooo.......naona unatafuta ugomvi mashabiki wa manyuu
Upo shululu???Karibu
Man six
Wauza unga mpo?
Bibi anashangilia ushindi dhidi ya Spurs uliomfanya Manyau Utd arudi nafasi yake ya muda wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...
Nipo aiseeUpo shululu???