Hivi shem Nahrene amesharudi tayari?Mkuu hujaona baada ya shemeji yetu Nahrene kuja youngblood amepata raha isiyo kifani...Yaan hadi anatumia loud speaker kuongea naye ili kwa wale waliodhania mabaya wajue wameshindwa...Dah kweli wanatutesa wanapo jificha..
Uchape kazi kwa umakini shem!Shem mimi niko zaidi ya poa ni jtatu hii nachapa kazi huku pembeni napata kiburudisho cha huku ndani..
Hubby anatumikia taifaShemeji liz, mumeo kaenda wapi leo?
Yupo kajaa tele huoni youngblood anavyotabasamu kila mahali wacha nimsalimu she kwanza...Shemeji mzima wewe Nahrene?Hivi shem Nahrene amesharudi tayari?
Kumbe wengine hatutumikii Taifa!!?Hubby anatumikia taifa
Naww pia shem.......asante shemHilo nakuahidi kabisa na wala usitie shaka maadamu kiburudisho hichi kinaendelea mambo yatakuwa shwar kabisa..Nikutakie jtatu nzur Shem wangu...Shem umependeza sana wapi Th Name ?
MmejibrekishaKumbe wengine hatutumikii Taifa!!?
Kumbe shem Nahrene kasharudi!!Yupo kajaa tele huoni youngblood anavyotabasamu kila mahali wacha nimsalimu she kwanza...Shemeji mzima wewe Nahrene?
Hata sisi tunapiga kazi huku tunajoin ya upande huu kama kawaida.Mmejibrekisha
Atakuja lunch timeHata sisi tunapiga kazi huku tunajoin ya upande huu kama kawaida.
nikajua mbwaWow wow! Shemeji upo poa lakini?
Najivunia kuwa na shemeji mrembo kama wewe...Naww pia shem.......asante shem
Kabisa kabisa........
Asante! Hata mm najivunia kuwa na shem handsome kama wwNajivunia kuwa na shemeji mrembo kama wewe...
Utaelewa tu taratibu mkuu..nikajua mbwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamannikajua mbwa