Makapuku Forum

.....ilimtokea nanii alipokwenda kwa kina shunie

Mie ndukii[emoji125]
Shabaash! Mie simjui huyo naniii ila ingekuwa powa tu kama ma mkwe angemtoa nduki usiku wa manane ikiwezekana na kelele za "mwizi! mwizi!" juu. Wengine katuzibia bahati zetu kwa Shunie bure tu...ndukiiiiii[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Bwanaaaabwaaaanaaah ....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumekuchaaa[emoji350] [emoji350] [emoji350]

Msisahau kwenda kanisani kwa wale wakristo.....nawatakieni Jumapili Njema
Tena Gwajima leo kaahidi maajabu na miujiza ya aina yake. Kama unajihisi kuwa una mikosi mikosi basi leo ndo siku ya kufika kwa Gwajima. Unaambiwa hata kama Makonda alikuwa anatarajia kukutaja basi jina lako hatalikumbuka tena! Ooooh tazama yote yamekuwa mapya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…