Makapuku Forum

Jamani Makapuku wazima?nimewamiss, nawatakia siku njema sana sana Mwenyezi Mungu awabariki sana katika kila mnalofanya Na wanaougua poleni,Mungu awaponye,mnaopitia changamoto yoyote Mungu awape wepesi,mnaosafiri safari njema, Muwe Na amani tele na kushukuru kwa Mungu kwa kila jambo....Ijumaa Khareem
 
Mheshimiwa tunashukuru kwa upendo wako
 
Mkuu segment yako imekosa wa kusaidia tunamis mambo
Nilikuwa safarini mkuu. Nimerudi na nitakuwepo kwa takriban miezi mitatu. Inshallah tutakuwa pamoja. Shunie ndo huwa ananifanya nipamiss huku sana sana. Halafu tena nikikukumbuka wewe (ukiwa na Shunie) stimu inakata. Hata hivyo tuko pamoja mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bwanaaaaabwanaaaaaaah [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Shemela wako yupo mzima
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 

Goal of the month
Andy Carroll{West Ham}

Wapi Giroud...ile ilikuwa ni cow kick tu ila ilikuzwa ili kulifunika bao la Mkhitaryan lakini imeshindwa hadi na kagoli ka Andy Caroll
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
miss u shimba ya buyenze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…