Kwema mkubwa cjui kwakoTushaamka kapuku ,kwema lakini
Kwako piaMimi sijambo namshukuru Mungu nimeamka salama ,siku njema.
Ubarikiwe mkuuAlso....![]()
![]()
![]()
![]()
Wazima kabisa mkubwaHabar za asubuhi jaman wazima nyie?
Mbona leo kumepoa hiviWazima kabisa mkubwa
Kanisani wengine we subir itapika 1k baadae ...Mbona l
Mbona leo kumepoa hivi
Hapana sijapata taarifa zakeKanisani wengine we subir itapika 1k baadae ...
Ila kapuku wetu aliyepata lift kwenda kanda ya ziwa ushapata taarifa zake ...??
Mkuu unaonaje ukaongozaa jopo la uchunguziHapana sijapata taarifa zake
Uchunguzi wa nini mkuuMkuu unaonaje ukaongozaa jopo la uchunguzi
Tuna wasiwasi mkuuUchunguzi wa nini mkuu
Wasiwasi wa nn mkuu funguka uTuna wasiwasi mkuu
Hatujui kama amefika salama au hapana ...last seen yake ni jana alfajiri wasije kuwa wamempiga kipapai make kuna kidosho alikua anakitamaniWasiwasi wa nn mkuu funguka u
Aisee tumuombee awe amefika salama na kama anamatatizo MUNGU ampe wepesi.Hatujui kama amefika salama au hapana ...last seen yake ni jana alfajiri wasije kuwa wamempiga kipapai make kuna kidosho alikua anakitamani
Important update ,mtafute zero frem ana ujumbe wako