Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkuuu tuko imara (lee$Shunie ) hakuna wa kutenganishaNdiyo maana vijana wananiheshimu.
Mkuuu tuko imara (lee$Shunie ) hakuna wa kutenganishaNdiyo maana vijana wananiheshimu.
twende babyUmewrong nambaaaaa mkuuu ,,,baby tukapate msosi achana na huyuu
HahahhhNdiyo maana vijana wananiheshimu.
Kutoka kwa TranscendNimeshapata taarifa kutoka kwa shunie kuwa kakupa mzigo wangu uniletee, messengers mna matatizo kweli.
Tunakula nni kwanza???twende baby
Tatizo lenu vijana mna pesa za ngama, mnavaa model tai zimening'inia kama ndimi za mbwa kumbe mfukoni hakuna kitu.Umewrong nambaaaaa mkuuu ,,,baby tukapate msosi achana na huyuu
Huyu hana hamu na mimi.Kutoka kwa Transcend
Kwenye wassap chat, au umesahau?we fakalava sa ngp nimekwambia usinigombanishe na baba bite
Hakuna mwanaume humu, mwanaume bukta.twende baby
Tunakula nni kwanza???
Hayo aliyokunywa sio salamaKuwa na huruma malkia

Poa vipi shululuNiaje malkia
Niko poa hofu kwakoUko poa?
chochote tu utakachochagua baba biteTunakula nni kwanza???
halaf unajua mapenzi sio pesa kama unampenda tu kwa dhatiTatizo lenu vijana mna pesa za ngama, mnavaa model tai zimening'inia kama ndimi za mbwa kumbe mfukoni hakuna kitu.
sio shunie mmKwenye wassap chat, au umesahau?
Mapenzi na pesa ni ndugu moja.halaf unajua mapenzi sio pesa kama unampenda tu kwa dhati
inategemea fakalava na mtu wako alivyo wengine tunaomba pesa kweli tukiwa tumekwama hakuna jins inabd tu uombeMapenzi na pesa ni ndugu moja.
Mwambieeesio shunie mm
Nice to hear dear....halaf unajua mapenzi sio pesa kama unampenda tu kwa dhati