Makapuku Forum

Watu na akili zao za usiku...


MWALIMU: Taja madini yanayopatikana Tanzania
MWANAFUNZI: MAKRISTO
MAISLAMU
MASABATO
MAMITUME
MALOKOLE...
*Kila mtu anakipimo chake cha bangi*
job nimepunguza leo
 
Hahahhhh lee ana wivu mzoee tu
Nimeshamzoea. Tena ana bahati. PM ingekuwa haijawa blocked angejikuta analia na kusaga meno na wivu wake. Shimba na ushamba wake wa Kisukuma hachezagi akiamua. Sema tu sasa alishastaafu azawaisi ingekuwa patashika nguo kuchanika. Tuwe na amani na Mungu Aendelee kutulinda wapendwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…