Ni kweli. Zamani binti mweupe alilipiwa mahari kubwa zaidi. Hata sasa nadhani hiyo bias bado ipo. Kwa nini umesema hivi Shunie? Lee Empire hataki hata nikusemeshe. I am careful