Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Msalimie sanaClkey yuko pouwa kabisa! Anawapa hi!
Msalimie sanaClkey yuko pouwa kabisa! Anawapa hi!
Kwema, vp weweKwema hapa wakuu
Kwema kabisa....jirani kapotelea wapi[emoji4] [emoji4]Kwema hapa wakuu
Niko poa...pole na kazi[emoji87][emoji87]Ahaaaaaah hawezi kujisaini,magazeti yetu tushayazoea malkia ,,niko poa hofu kwako
Vizuri kusikiaa ,,Siku hizi tunasema ongera kwa/na kazi sio pole[emoji4] [emoji4]Niko poa...pole na kazi[emoji87][emoji87]
Umenikumbusha mwalimu wangu kila cku alikuwa ananiambia usipende kumwambia mtu pole na kazi sema hongera kwa kaziVizuri kusikiaa ,,Siku hizi tunasema ongera kwa/na kazi sio pole[emoji4] [emoji4]
Ww c ulikula pesa yake mtafuteKwema kabisa....jirani kapotelea wapi[emoji4] [emoji4]
Mie cjambo kabisaKwema, vp wewe
Alitoa kidogoWw c ulikula pesa yake mtafute
Mkuu si umwambie tu kilichopo moyoni au ushamwogopa TranscendKwema, vp wewe
Hyo hyo ndogo c umekula bwanaAlitoa kidogo
Ila na wewe ulipata chako ...Hyo hyo ndogo c umekula bwana
Cjala hata thumni yakeIla na wewe ulipata chako ...
Kwahiyo hujachoka?[emoji23]Vizuri kusikiaa ,,Siku hizi tunasema ongera kwa/na kazi sio pole[emoji4] [emoji4]
Alinambia wewe kakukatia mpunga sio wa nchi hii ...mmi alinipa kiduchuCjala hata thumni yake
Ww mpambe ovyo Kabisaaaaaaa
Kazi nifanye mm pesa ule ww
Kipi sasa, zaidi ya kumwambia airudishe avatar ya mwanzoMkuu si umwambie tu kilichopo moyoni au ushamwogopa Transcend
Ndo maana nshamtemaAlinambia wewe kakukatia mpunga sio wa nchi hii ...mmi alinipa kiduchu
Ila pole kama ulifanya kazi bila malipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili nyingi nguvu kidogo[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kwahiyo hujachoka?[emoji23]
Sema achana na wale ...shululu anafaa ila hajanipa chochote kama kanipa aseme ..akinywa maji anakuona kwenye chupa ya uhaiNdo maana nshamtema