Makapuku Forum

Makapuku Forum

...zinatofautiana na shatiz za yulez jamaa yetuz wa mjiniz? Maana shati lake linafunika Vist
Pia huyo anayeshinda after school bash ana damu ya Kinyaki(kwa mama)
Pensi lake nasikia linatosha kutengenezea turubai
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
 
Sema jana ndo katia fola kaitwa kwenye sherehe na jirani wakati huyo jirani hana kadi ,ndo sijui walimtimua??

Ha hahahhahah, hivi nilisahau kuleta mrejesho!?
Ilikuwa hivi; jirani aliyenikaribisha anafahamiana na mpishi Alli Mapilau so tuliingia kama wapishi wasaidizi (MY-mind you; shida yetu ni kula na si kusheherekea mambo yao)
Kifupi tulifanikiwa na tulipiga mpunga na vinywaji kama mabosi vile na MA (Mission Accomplished)
 
Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana
Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana
Am really missing you fellaz..

QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123, amaizing, shululu, lizziebettie, Cobblepots, MANDELAA KIWELU, jonax, Makaveli10 & Sweetiepie, The book, Tetramylez, Papushikashi, MKWEPA KODI, SHIMBA YA BUYENZE, jerrysonkiria, shushushu VIP, radika, Shemtibuko, Ollachuga Oc, radika, lothrito, sacajo na wengine wote

Ooops! bila kuwasahau wanaolisongesha kwa sasa

lee empire, Transcend, Salaniatz, Obe, Shunie, ukhuty, Queen Kan, Clkey na wengine wooote!

Pamoja sana..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Ha hahahhahah, hivi nilisahau kuleta mrejesho!?
Ilikuwa hivi; jirani aliyenikaribisha anafahamiana na mpishi Alli Mapilau so tuliingia kama wapishi wasaidizi (MY-mind you; shida yetu ni kula na si kusheherekea mambo yao)
Kifupi tulifanikiwa na tulipiga mpunga na vinywaji kama mabosi vile na MA (Mission Accomplished)
Oooooraaaaaaaaaitaaaah bhinamuuu ...mujiniiii mipangoooi
 
Back
Top Bottom