shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Sio mama bite haaahaaaSisi ni waseme ukweli shunie wangu
Sio mama bite haaahaaaSisi ni waseme ukweli shunie wangu
Karibu...za leo, napita tu.

Weka paja la kuku kwenye mfuko hapo, utupitishie makapuku..ni hapa tu jirani kuna maulid nimekaribishwa
Kinywaji cha shem wako umekikumbuka ??Karibu![]()
Shululu,shululu jamani mbona unataka kuleta uchonganishi ??Sio mama bite haaahaaa
Unaenda ukiwa huna amani kabisaHa ahahahahaha, acha fitna sasa mjomba, maswali mengine hayaulizwi, utanikatisha tamaa
..wenye shughuli hawajanikaribisha sema nimekaribishwa na majirani wema (sina hakika aliyenikaribisha anamwaliko, sema anawafahamu) hahahahahaha
Tumeua mtu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Arsenal ndio refalii?Kashinda dk ya 98
Yaani ukijumlisha na kipindi cha kwanza dk za majeruhi game imechezwa dk 100+
Mbeleko live
.........
KumbeeeeeTumeua mtu
Ila kabla ya penati ilikuwa offside, Sema ramzimeni hakuonaKashinda dk ya 98
Yaani ukijumlisha na kipindi cha kwanza dk za majeruhi game imechezwa dk 100+
Mbeleko live
.........
Mama Bite natoka kidogo ngoja nikacheki mpira kuwa makini na Shululu usiamini kila kitu anachokwambiaHhahhah
Hapo sawaShululu,shululu jamani mbona unataka kuleta uchonganishi ??
Haya shunie wangu= mama Bite
Looooooh na navotoka si unaua kabisa ....Yupi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwahyo sio ndg yakoYule ni mnyaki
HahahhhhMhhhhhmhhhhh
Shululu mgomvi wwSio mama bite haaahaaa