Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahaahhh..ni hapa tu jirani kuna maulid nimekaribishwa
Hahaahhh..ni hapa tu jirani kuna maulid nimekaribishwa
....ungerudi old school, Encyclopedia Britannica, ungeshinda libraryNingelikua mimi maswali sijui ningeligoogle wapi majibu yake
hiki ndio kizuri baba bite![]()
Umekaribishwa kweli ??..ni hapa tu jirani kuna maulid nimekaribishwa
Weee mimi na mama Bite tumetoka mbali tangu enzi izo za kukariri nyimbo za westlife....ungerudi old school, Encyclopedia Britannica, ungeshinda library
Umekaribishwa kweli ??
Oook ooook oooook Bhinamu ebu toa hiyo kofia sio kibaragashia mkuu ukaukunjue vilivyo ,mengine yatajulikna mbele kwa mbele kama waimbavyo wavaa njanoHa ahahahahaha, acha fitna sasa mjomba, maswali mengine hayaulizwi, utanikatisha tamaa
..wenye shughuli hawajanikaribisha sema nimekaribishwa na majirani wema (sina hakika aliyenikaribisha anamwaliko, sema anawafahamu) hahahahahaha
Hahhahah![]()
![]()
![]()
![]()
Najua shululu hapendi kuona tunaaminiana ila hana namna
HhahhahWeee mimi na mama Bite tumetoka mbali tangu enzi izo za kukariri nyimbo za westlife
Ahaaaaaaaaah nimeamin Arsenal hatokaa anufaike na fursa anazopata ...na Leo tena ??![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Kashinda dk ya 98Ahaaaaaaaaah nimeamin Arsenal hatokaa anufaike na fursa anazopata ...na Leo tena ??
Yule ni mnyakiHahahahh et Dada ako umemuona shululu
Kashinda dk ya 98
Yaani ukijumlisha na kipindi cha kwanza game imechezwa dk 100+
Mbeleko live
.........

Huwa anawekaZa mnyama haweki kama anavoripoti kila siku
MhhhhhmhhhhhHuo ubonge naupendaga balaa