Makapuku Forum

Ha ahahahahaha, acha fitna sasa mjomba, maswali mengine hayaulizwi, utanikatisha tamaa
..wenye shughuli hawajanikaribisha sema nimekaribishwa na majirani wema (sina hakika aliyenikaribisha anamwaliko, sema anawafahamu) hahahahahaha
Oook ooook oooook Bhinamu ebu toa hiyo kofia sio kibaragashia mkuu ukaukunjue vilivyo ,mengine yatajulikna mbele kwa mbele kama waimbavyo wavaa njano
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…