Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeeeh Ntakudanganya nikijibu labda nimuulize mkuu Shululu nasikia alikua bingwa kwenye somo la Biologia


....sio somo lote, sema ubingwa wake kwenye kale katopic kenu mnakokaita ripurodakisheni😀😀😀 hapo ataeleza hadi michoro
 
...uko sahihi, nilikuwa nondo kweli hadi nikapewa u-timekeeper, muda wote naangalia saa nigonge kengele, na unguli wangu kwenye kipindi cha mapumziko hauna mfano
Ahaaaaaaaaaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom