Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,412
You thought wrong!Nilifikiri Buyenze ni kijiji chenu
.......
Kwa kushangaa maghorofa na ushamba kwa ujumla sisi ni levo nyingine kwa kweli. Hapo lazima mtuvulie Kofi a!!!Kumbe nyie ndo mnasababisha foleni Joto City maana mnashangashangaa tu
......
Adija yuko hai
You thought wrong!
Usiku mwema wadauKe wa kisukuma na wanyaki wana unyenyekevu unaofanana
Majina mengine yana laana mkuu
Hakika huwa nafurahi nikibahatika kuwa kazini na msukuma, huwa siku ni fupi...akiongea tu sina mbavuKwa kushangaa maghorofa na ushamba kwa ujumla sisi ni levo nyingine kwa kweli
Ama kweli umekamatika au umepata jiko unaenda kuzima moto nini!!Usiku mwema wadau
..........
.
Karibu sana mkuu, hiyo napenda sanaGoodnight jamani. Asanteni kwa maongezi mazuri. Mh. QUIGLEY nitakutafuta PM tuongee mambo ya kiuchumi hususan ujasiriamali. Wakati ndio huu ati!
Niko bien PapaaPappaa ukoo byeee??
Unaweza kulima na government isikusapoti kwenye soko.....kwanza hizo pembejeo wanatuuzia ghali mno!Quigley hili ni tatizo la mfumo wetu wa Elimu, tunafundishwa kuajiliwa tu nasi kujiajili
Huo utumwa nimeukataa kwa hiari miaka 8 iliyopita
Inaelekea umetumia mtindi kweli, vyakula vyenye protini huleta hisia
Haaaahaaaa,bitoz itabidi aoe msukuma tu, maana hamna namna nyingine sasa
Hakika huwa nafurahi nikibahatika kuwa kazini na msukuma, huwa siku ni fupi...akiongea tu sina mbavu
Ni kweli mkuu, wasukuma nawapenda sana ni wakarimu sana na ongea yao inanivutia sana.