Mkuu ngozi nyeupe ni level nyingine, ukifanya nao kazi zaidi ya miaka 5 unabadilika kifikraNi kweli. Kwa hali ya Tanzania ilivyo hatupaswi kuwa na njaa. Nimepitia California huku wana ukame wa miaka 10+ lakini huwezi kujua na hata bila msaada wa majimbo mengine wanaweza hata kujilisha wenyewe. Wakulima wakubwa 50 hivi wanaweza kulisha jimbo mamilioni ya watu na kila kitu ni irrigation. Wamechimba visima virefu na kujenga mabwawa makubwa makubwa. Sasa mvua zinanyesha na maji haya yanavunwa na kuhifadhiwa.
Kama nilivyosema hapo juu, sisi priorities zetu ziko misplaced na kilimo bado hakijapewa nafasi inayostahili. Tungekazania mapinduzi ya kilimo tungeingia hata kwenye viwanda vyepesi tukiwa na watu walioshiba. Lakini mkazo wetu ni madege na kujengewa viwanda vikubwa vikubwa Wachina. Huwezi kuwa taifa la viwanda wakati watu wako wana njaa!
Ni hayo manyoya ya shingoni mwa hilo simba dume. Huwa yanasimama likitaharuki au kuhisi hali ya hatari; na wakati mwingine likitaka kuvitisha visimba vitineja vinavyonyemelea majike yake. Sijui neno lake halisi katika Kiswahili. Sasa Madenge amekazana eti nibadilishe jina niwe Faru ya Buyenze. Si maajabu haya!Buyenze ni nini mkuu
Nashangaa kijiji nilichofikia maembe yanaoza tu yaani ukiamka asubuhi unaweza kuokota tu maende bla kuangua ukajaza kindoo kizima......nashangaa sasa juice tunaagiza UlayaNahitaji mapapai ya jumla
Labda uwe faru joNi hayo manyoya ya shingoni mwa hilo simba dume. Huwa yanasimama likitaharuki au kuhisi hali ya hatari; na wakati mwingine likitaka kuvitisha visimba vitineja vinavyonyemelea majike yake. Sijui neno lake halisi katika Kiswahili. Sasa Madenge amekazana eti nibadilishe jina niwe Faru ya Buyenze. Si maajabu haya!
Climate change. Tumeshaachana na mambo ya ng'ombe. Hutuoni hata huko Dar tumejazana?Nimeshiba viazi kwa mtindi sasa nafanya fujo km ng'ombe zenu Usukumani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..,.
Haaaahaaaa,bitoz itabidi aoe msukuma tu, maana hamna namna nyingine sasaNi hayo manyoya ya shingoni mwa hilo simba dume. Huwa yanasimama likitaharuki au kuhisi hali ya hatari; na wakati mwingine likitaka kuvitisha visimba vitineja vinavyonyemelea majike yake. Sijui neno lake halisi katika Kiswahili. Sasa Madenge amekazana eti nibadilishe jina niwe Faru ya Buyenze. Si maajabu haya!
Hapo sasa, sijui wabongo mirija ya kufikiri imezibwa na kokoto!Nashangaa kijiji nilichofikia maembe yanaoza tu yaani ukiamka asubuhi unaweza kuokota tu maende bla kuangua ukajaza kindoo kizima......nashangaa sasa juice tunaagiza Ulaya
..........
Aisee huku kijijini nilipo wakulima hawana trekta wachache wanalima kwa plau za kuvutwa na ng'ombe....ardhi ina rutuba lakini wanalima kizamani matokeo yake shamba kubwa mavuno kiduchuNi kweli. Kwa hali ya Tanzania ilivyo hatupaswi kuwa na njaa. Nimepitia California huku wana ukame wa miaka 10+ lakini huwezi kujua na hata bila msaada wa majimbo mengine wanaweza hata kujilisha wenyewe. Wakulima wakubwa 50 hivi wanaweza kulisha jimbo mamilioni ya watu na kila kitu ni irrigation. Wamechimba visima virefu na kujenga mabwawa makubwa makubwa. Sasa mvua zinanyesha na maji haya yanavunwa na kuhifadhiwa.
Kama nilivyosema hapo juu, sisi priorities zetu ziko misplaced na kilimo bado hakijapewa nafasi inayostahili. Tungekazania mapinduzi ya kilimo tungeingia hata kwenye viwanda vyepesi tukiwa na watu walioshiba. Lakini mkazo wetu ni madege na kujengewa viwanda vikubwa vikubwa Wachina. Huwezi kuwa taifa la viwanda wakati watu wako wana njaa!
Be careful now. Don't hit below the belt. Respect is fre...Nahisi ni Bunyege
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Kumbe nyie ndo mnasababisha foleni Joto City maana mnashangashangaa tuClimate change. Tumeshaachana na mambo ya ng'ombe. Hutuoni hata huko Dar tumejazana?
Combination ya Mnyaki na Msukuma mbona ni balaaHaaaahaaaa,bitoz itabidi aoe msukuma tu, maana hamna namna nyingine sasa
Faru John si wajanja wameshamrestisha in pisi? Au kuna mwingine aliye hai? [emoji23][emoji23][emoji23]Labda uwe faru jo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kumbe nyie ndo mnasababisha foleni Joto City maana mnashangashangaa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Nilifikiri Buyenze ni kijiji chenuNi hayo manyoya ya shingoni mwa hilo simba dume. Huwa yanasimama likitaharuki au kuhisi hali ya hatari; na wakati mwingine likitaka kuvitisha visimba vitineja vinavyonyemelea majike yake. Sijui neno lake halisi katika Kiswahili. Sasa Madenge amekazana eti nibadilishe jina niwe Faru ya Buyenze. Si maajabu haya!
Wewe unawasaidiaje? Hata kimawazo tu? Wakati huo huo mabwana shamba wametia pamba zao wapo maofisini mijini na mshahara wanavuta kila mwezi. Tanganyika!Aisee huku kijijini nilipo wakulima hawana trekta wachache wanalima kwa plau za kuvutwa na ng'ombe....ardhi ina rutuba lakini wanalima kizamani matokeo yake shamba kubwa mavuno kiduchu
Wanatia huruma
.......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hiyo ni kazi kaziCombination ya Mnyaki na Msukuma mbona ni balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Adija yuko haiFaru John si wajanja wameshamrestisha in pisi? Au kuna mwingine aliye hai? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ke wa kisukuma na wanyaki wana unyenyekevu unaofananaCombination ya Mnyaki na Msukuma mbona ni balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
SorryBe careful now. Don't hit below the belt. Respect is fre...
Ukirithi jina kuna ubaya gn?Faru John si wajanja wameshamrestisha in pisi? Au kuna mwingine aliye hai? [emoji23][emoji23][emoji23]