Makapuku Forum

Unajua wasukuma Wana watani wengi sana
Najua Shululu. Na ni jambo jema. Zamani utani kati ya kabila na kabila ulikuwa jambo la kawaida. Hata leo bado utasikia watu wakisema "Oh nyie Wakinga watani wetu..." ila sisi Wasukuma nadhani ni watani wa kila mtu.

Juzi juzi hapa naona hata Wanyakyusa nao wameanza kutaniwa taniwa japo ni wakali sana. Inaonekana bado hawajakomaa sawasawa na wakitaniwa wanatoka povu balaa
 
Sharti mojawapo muhimu kuwa na pesa za emergency ..alafu kila mtu atakula kulingana na urefu wa kamba yake ..ila wewe hata usipokuwa na emergency money
ha ha ha nimecheka kwa sauti mm nitakuja na pesa zangu na nitakula kutokana na urefu wangu
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…