shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mukongo mambo vpGoodmorning family
Mukongo mambo vpGoodmorning family
Mussolin niajeeeJambo wote
Ewaaahsawa mukongo, tafakari kwa kina.

Pamoja sanaAsante ndugu shululu
Nimeisha rudi
Pamojaaa pappaaLee Ahsante kwa magazeti ya leo
jana nilipita kimya kimyaSame to you
Jana niliona nyayo zako

Niliona tujana nilipita kimya kimya
Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari lake. Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wa4 wakiwa doria, akajua lazima watataka rushwa.
Askari;- Unakwenda wapi na hilo jeneza usiku huu?
Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa makaburi ya Sinza sijapapenda ndo naelekea Kinondoni nikajizike karibu na Kaburi la mtu maalufu au mnanishaurije?
*MPAKA SASA HIVI ASKARI HAWAJULIKANI WALIPOKIMBILIA*.
![]()

HahahahahaFundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari lake. Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wa4 wakiwa doria, akajua lazima watataka rushwa.
Askari;- Unakwenda wapi na hilo jeneza usiku huu?
Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa makaburi ya Sinza sijapapenda ndo naelekea Kinondoni nikajizike karibu na Kaburi la mtu maalufu au mnanishaurije?
*MPAKA SASA HIVI ASKARI HAWAJULIKANI WALIPOKIMBILIA*.
![]()
Basi mwororoh!Nimeisha rudi
What distillation is that???![]()
Tunalisaka tonge ...
Advanced fractional distillationWhat distillation is that???