Makapuku Forum

Wakati nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa. Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi na sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!

Shughuli ni pale unapogundua hujui kingereza wala kiswahili...

 
Makapuku kumekucha salama ?? Mwaka ndo huo unaishaaa..tukapitie magazeti Mwaka naona tunaukaribisha na umeme kupanda maradufu ...


NIPASHE Bei mpya ya umeme yenye ongezeko la 8.5% kwa uniti, imeibua hofu ya kuongezeka kwa gharama ktk huduma na bidhaa mbalimbali

 
NIPASHE Serikali imesema taarifa za faru John kwa umma hazipaswi kutolewa kiholela na mtu yeyote bali zitoke kwa waziri mkuu
 
kiswahili kigumu kumbe ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…