Makapuku Forum

 
nimegaili sitampiga ban tena wakati mwingine ndio tunajifunza mazingira ya kuishi na wajukuu
Ahsante sana mkuu busegwe nilikua nimeshapoteza raha kwa kuwaza ban yako....

Reimundo ahsante mkuu kama sio wewe busegwe angenifanya kitu mbaya hapa leo
Mkuu busegwe msamehe tu Benny maana najua na yeye ni utoto unamsumbua kama mimi. Usimpige ban hatarudia tena.
 
Sijiiti mkongwe wala kapuku( japo hili jina silipendi kutokana na maana yake halisi) katika ufuatiliaji wa jf lakini ukweli utabaki pale pale kuwa jf ya siku hizi imekosa msisimko kama ule wa zamani ukiyatoa Yale majukwaa ya chini yasiyohitaji fikra pevu.....

Matusi ,kejeli na personal attacks zimezidi sana...hii ni ID ya pili baada ya ile ya kwanza kusumbua na nimekuwa nikichangia hoja mbalimbali hapa bila kuhisi kubaguliwa...

Ukitaka ujione sio mpya hapa .. Jaribu kupitia thread zilizopita japo kwa uchache ili upate fikra za ziada na utamaduni wa jf..ukichangia vitu vyenye kuongeza data ama mvuto kwa watu..lazma utapata replies na likes pia ila kama unachangia hoja kawaida ama kwa matusi ni lazma uhadhirike na kutupwa katika dustbin .....

Kuna watu wapya wapo vizuri ila wengi wao ni dissapointing na hawaelewi mipaka yao kwa mfano Mimi mwenyewe huwezi kunikuta nachangia sana katika international forum kwa kuwa sina ujuvi sana huko hivyo hukaa pembeni na kujifunza zaidi...

Kukaa kimya ili ujifunze si ujinga ila kuongea vitu visivyo na maana ni ujinga mkubwa sana..
Simhukumu mtu kwa muda aliokaa humu ila michango yake...

KUWA NA STAHA,ELEWA MIPAKA YAKO NA UWE NA MOYO WA KUJIFUNZA.. Maana jf ni DARASA HURU
 
Mi mwenyewe ni mmoja wao afu kuna huyu sizzya007 na wengine kibao
Kama na sizzya007 pia alinimiss basi mfikishie salamu angu huko aliko, mwambie nimerudi nikiwa buheri wa afya
Na wote ambao utakumbuka kuwa waliguswa na kutoonekana kwangu wape salamu, limerudi nikiwa na nguvu mpya na kazi
Pia makupuku wote tuko pamoja sana
Cc Zamaulid hivi huko pandagichiza hakuna umeme au? Mbona hujaonekana???
 
Well said chief... Kweli kabisa hata mimi hilo jina sijalipenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…