Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Niniiii naww nakupenda
Niniiii naww nakupenda
sio saiz tu toka zama na zamaSi unajua pesa ni matatizo saiv
Hizo ishu n Ngumu kumesaNdiyo maajabu hayo sasa
Nakupenda piaNiniiii naww nakupenda

Morihno hawez chapwaAmwache achapwe![]()
Harakat vpMkushi wa kusi morning
Zipo poa kabisa, vp upande wakoHarakat vp
..Hakika tupo salama hata sasa mkuuJamani mumesalimika ??
AmeeeeeeeniiiiiNa kwako pia Lee
lee nakupendea apa tu kwenye magazeti lazma asbh niingieNa wale wapenda udaku tuko pamoja ..![]()
![]()
![]()
![]()
abeemiss chagga
Thanks Shunie ,ndo jadi yetu kapuku kupeana taarifalee nakupendea apa tu kwenye magazeti lazma asbh niingie
..Miss chagga karibu kwa makapuku kwetu huku nikuambie Yaliyo moyoniabee
nimeshakaribia hb niambie tu nitayapokea kwa mikno miwili..Miss chagga karibu kwa makapuku kwetu huku nikuambie Yaliyo moyoni
..nakukubali sana miss chagga,Japo mm ni kapuku user name yako inaniogopesha kufunguka zaidinimeshakaribia hb niambie tu nitayapokea kwa mikno miwili
ha haha ukifanya hivyo unakosea mkuu .. we funguka tu sema napenda pesa..nakukubali sana miss chagga,Japo mm ni kapuku user name yako inaniogopesha kufunguka zaidi
..Banks statement yangu haipo sawa sana sasa!ha haha ukifanya hivyo unakosea mkuu .. we funguka tu sema napenda pesa
duh basi usijali ikikaa sawa we usiogope kufunguka..Banks statement yangu haipo sawa sana sasa!
HakikaThanks Shunie ,ndo jadi yetu kapuku kupeana taarifa