Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi naitumia now baada ya vibaka kuniibia niliyokuwa "natambia" hapa kumwaga lori la mapicha now nimekuwa mpole ndo sababu sipostpost picha
SD card and internal storage use the same disk.....ht uweke memory card ya GB 32 ukipiga picha 50 tu majanga

.....
mwakani nitatafuta simu nyingine aisee. Hii simu ni headache sana. Inajaa haraka basi vurugu tu
 
Yani natamani siku moja nikutane na wana jf face to face 2badilishane mawazo pamoja na story mbalimbali ....Natamani itokeee
Tupo Makapuku tunaojuana na tunawasiliana nje ya JF na ht tupo tuliokutana face to face

Hii ni kwa ambao wanaheshimu privacy za watu na ht tukipeana # huwa hatutoi kwa wengine .........ukiona huna mtu unayefahamiana naye nje ya Jf ujue hujampata wa kukuamini
...............
 
ila mkuu sijawahi mtafuta yeyote .......ndo mara ya kwanza kuuliza
 
ila mkuu sijawahi mtafuta yeyote .......ndo mara ya kwanza kuuliza
Siyo kumtafuta mtu....ukizoeana na mtu hapa Jf mnakuwa marafiki(urafiki huwa na sababu hautokei tu) baada ya hapo ndo mnatafutana

Binafsi sizoeani ovyoovyo tu na watu hivyo wanaonifahamu ni wachache tu hawazidi wa5 na wote ni kwa sababu maalum tena kati yao wengine wananifahamu lakini hawana # yangu
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom