Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
miss chaggaNawatakieni maandalizi mema yakupokea mwaka![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
miss chaggaNawatakieni maandalizi mema yakupokea mwaka![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sijui yupo wapMkuu Quigley sijamuona mda umepita ....
Kwann michepuko hatarUsiku mwema wanafamilia wa nguvu
MUHIMU:
**Usisahau kumshukuru MUNGU kwa kukuongoza kwa siku ya leo.
**Epuka michepuko kipindi hiki kwan ni hatari.
**Samehe wale wote waliokukosea mwaka huu.
**usisahau kushusha chandarua kabla ya kulala.
____post hii ni kwa hisani ya werrason mzee wa kushow love Pamoja na mtoto mzuri shunie
kama kawaNiajeee lothrito
wabanwe tu na ss tupate'Watapona kweli' /"tutapona kweli " make hizi mbinu kama za komando kipensi![]()
![]()
Hiki kipindi watu wanatengeneza mafumanizi ili wapige pesa au upokee bonge la kichapo......hii ilitokea juzi kati hapa kitaa AISEE NOMA SANAAKwann michepuko hatar
Mnyama leo anauwa mtu 3 kichuya mawiliKwa jirani "mtani" naona mambo sio mabaya angalau kwenye daladala watapata cha kubishana ...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
'll
Kwa udhamini wa Bitoz $Lee mleta magazeti tuwatakie asubuh njema
Na kwako pia LeeKwa jirani "mtani" naona mambo sio mabaya angalau kwenye daladala watapata cha kubishana ...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
'll
Kwa udhamini wa Bitoz $Lee mleta magazeti tuwatakie asubuh njema
Kibabu chenye mafanikio ulitaka aje apewe ushaur na Julio auView attachment 451539 Bila ushauri wa Feggie hamna Man. U nini maana hata Moyes alikuwa anapewa mbinu!!!.....au Man. Wana makocha wawili!![]()
![]()
![]()

frsh vp..Mmeamkaje Family??!
Kwel brah umeongea fact tupuHiki kipindi watu wanatengeneza mafumanizi ili wapige pesa au upokee bonge la kichapo......hii ilitokea juzi kati hapa kitaa AISEE NOMA SANAA
morning shululuMorning all kapuku
Si unajua pesa ni matatizo saivKwel brah umeongea fact tupu
Tunalisongesha tu makapukukama kawa
Ndiyo maajabu hayo sasa![]()
![]()
![]()
mtu afe halaf awe hai
Kitaa kipi aiseeHiki kipindi watu wanatengeneza mafumanizi ili wapige pesa au upokee bonge la kichapo......hii ilitokea juzi kati hapa kitaa AISEE NOMA SANAA
namna hiyoTunalisongesha tu makapuku
Amwache achapweKibabu chenye mafanikio ulitaka aje apewe ushaur na Julio au![]()
![]()

Mkushi wa kusi morningmorning shululu