Makapuku Forum

Makapuku Forum

kweli undugu umekuwa mhumu sana, sijapata hata mwaliko mmoja wa kirisimasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu Christmas njaa kali. Maana karibia kila familia jana iliamkia kiporo pengine ukiwamo wewe unaesoma coment hii. Hii ni Christmas pekee walevi hawajaoga bia[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kasoro mm peke yangu sijala kiporo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watu tunataka [UhuruWaKujieleza]
2557d3501a9fbc3c32ea74b8d76b1bb7.jpg
wakati wengine hatuko tayari kukosolewa!. Tukitaka kubadilika ni lazima tuanze kwenye mawazo na fikra zetu kwanza kisha ndio tuhamasishe na watu wengine kubadilika!
9a710c5d0675e4fbb0e7a229a4d4c557.jpg

dae17b4db60ded1001d114a1f4f4a2f0.jpg
Umekula block za maana
 
Back
Top Bottom