Makapuku Forum

Ilikuwa na post tatu, wa kwanza alisema upo hospital kwa labor unadeliver .....sijui stunter ndio baba/shem anangojea kachanga blablablabla sikuikariri vizuri hata alie post.....nilisahau kui-screenshot
aisee kazi ipo sijatukanwa uko kweli ila nitamjua tu aliyepost quiqley kama alisoma ataniambia
 
Mimi nilivoona notification kutoka kwako automatically nilijisemea kimoyomoyo shunie sio wa mchezo mchezo ...nilijua fika umekuja kutapa mrejesho kama ni wa kike au kiume
inabid nicheke tu ila huyo mtu kanivuruga sana unajua siku hiz jf siingiii nikiingia naingia uku na kutoka ndio mana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…