Makapuku Forum

WANASEMA MTU HATOJUA THAMANI YA MKONO WAKE MPAKA HUO MKONO UMTOKE...NAKUKUMBUKA SANA MH.
Unamkumbuka Mr. Dhaifu Mkwere Vasco da Gama fisadi mlea mafisadi? Haya ni baadhi tu ya majina mliyomuita naye akawachekea tu huku akiwaita ikulu na kuwanywesha chai pamoja na tende na halua. Hamjakaa sawa akaitia sahihi sheria ya makosa ya mtandao. Hamjakaa sawa akaona CCM isingeshinda kama ile katiba mpya ingepita huyooo kwa makusudi kabisa akaichakachua. Escrow ikaonekana itamuumbua akajitosa mwenyewe bungeni kuitetea kuwa zile hazikuwa pesa za umma. That's J.K. my friend. Master politician (Hata Edo anamtambua) but a questionable leader at best. Leo kageuka malaika. Sometimes in life you don't know what you have until it is taken away
. Poor Tanzania!!!
Mhanga # 1 wa JK the politician!
 
Kiukweli Mkwere ana mambo mengi tu yansyovutia
Yupo smart na tabasamu lake...Leo tunaye rahisi anayefaa makoti/suti ya oversize


Kumbuka ht Nyerere alikuwa smart...km Rais mavazi tu yanamshinda ndo ataweza kudeal na ishu serious za nchi?
.........
 
Niliwahi kusema huwezi kumfahamu MZURI KABLA MBAYA hajapatikana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…