[emoji4]Nimegundua saga la Melo limewafanya mods wawe na hasira badala ya woga
Now thread za kumchana Faru John zinaachwa tu....ht reply za kuwachamba kina FaizerFix hazifutwi....watu wanachanwa had I misamba halafu NO BAN tofauti na zamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
........
Kariiiibuuuu...Jamani nami ni kapuku naomba nikarbishwe.
Pressure ilikuwa juuIbra kadabra katunyanyua leo.
Hilo nililiona Jana kwenye uzi wa sokweNimegundua saga la Melo limewafanya mods wawe na hasira badala ya woga
Now thread za kumchana Faru John zinaachwa tu....ht reply za kuwachamba kina FaizerFix hazifutwi....watu wanachanwa had I misamba halafu NO BAN tofauti na zamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
........
Msubiri makelele ataita waandishi wa habarieti makapuku hivi Tiharahehi wameshatangaza makusanyo ya november?
Karibu sana, toa like upate likeJamani nami ni kapuku naomba nikarbishwe.
tena ilikuwa juu zaidiiiiPressure ilikuwa juu
Shululu upoooo???Karibu sana, toa like upate like
Nipo aisee, notification ni majanga mkuuShululu upoooo???
Kwelii mkuu majanga mpaka utegeshee uziiNipo aisee, notification ni majanga mkuu
Natumia Jf app. notification zinakuja BablaiKwelii mkuu majanga mpaka utegeshee uzii
Nipo aisee, notification ni majanga mkuu
Habari ndiyo hiyo
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Kwa udhaminii munono wa Shunie usiku mwema....
Quigley mapema tunaomba magazeti
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]*Dah!!! vitoto vingine vinaumbua sana*[emoji15]
Tulikua kwenye daladala, mtoto mmoja akamuuliza mama yake, *mama tunaenda wapi na hatujaoga*?[emoji38][emoji38][emoji38]
Dereva imembidi asimamishe gari tucheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]