Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hata mzawa unaweza kuchukuliwa kuwa mhamiaji haramu ukajikuta kwenye kiroba chini ya mto ukiliwa na mamba. Ni hatari sana. Yaani utafikiri hao wahamiaji haramu siyo binadamu wanaostahili kuzikwa kwa heshima ya kibinadamu. Halafu Trump anataka kujenga ukuta kuzuia wahamiaji haramu dunia nzima inampigia makelele. Sisi tunaotia kwenye viroba je?
Usiamini sana Fix za Lameck Mkumbo

.......



 
7740ce87538d1f9c8c30ccb4d2874ad8.jpg

Pilau la Leo
......
Waarabu kwa madikodiko na raha aisee kiboko. Wakitoka hapo si ajabu kuna mabikra wanawasubiri. Dunia hii we acha tu!
 
MIMI NI MVIVU LAKIN SIJAMSHINDA ALIYE TENGENEZA BENDERA YA JAPAN

Mabomu ya Nyuklia siyo mchezo. Hata kama ni wewe ungekuwa mvivu tu. Yaani kote safi isipokuwa huo mtone wa damu hapo katikati. Falsafa nzito eeeh. Nimesikia watu wakisema kuwa ukitaka kujua madhara ya silaha za Nyuklia wala usihangaike. We angalia bendera ya Japan. Kuna ujumbe mzito pale!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom