Kwema mkuu shululu ...Vp livi
Vp livi
Ilikuwa saa 11:15Game saa ngapi???
Hongereni kwa kumpiga Spurs, wazee wa kubet leo watakuwa wametukana sanaIlikuwa saa 11:15

Anza kwa ku likehabari zenu hum sijawahi ingia kwenye huu uzi.
naombeni like nyingi za kunikaribisha
Avuje jasho like sio hisani atakesha sanaHa ha jamaa anapenda mtelezo eh![]()
![]()
![]()
![]()
Hajui watu walikotoka.Avuje jasho like sio hisani atakesha sana
hahahaha. mbona mnanisimanga tena me mgeni.Hajui watu walikotoka.
Inavyoonekana kweli wewe ni trouble maker. Unapokwenda kwa watu kuwa mnyenyekevu. Siyo ile unabisha tu unaanza kudemand hichi na hicho. Utatimuliwa ugenini!hahahaha. mbona mnanisimanga tena me mgeni.
Uliingia kwa pupa, soma mchezo.hahahaha. mbona mnanisimanga tena me mgeni.
Inavyoonekana kweli wewe ni trouble maker. Unapokwenda kwa watu kuwa mnyenyekevu. Siyo ile unabisha tu unaanza kudemand hichi na hicho. Utatimuliwa ugenini!
Likes hizi unazozitaka zina umuhimu gani? Unajua huwa zinapatikanaje huku kwa Makapuku?

Mbona nshaleta mkuu? Labda nikuletee za ulaya?Njema
Tuletee picha za Asia
![]()
![]()
![]()
....
haya bhanaInavyoonekana kweli wewe ni trouble maker. Unapokwenda kwa watu kuwa mnyenyekevu. Siyo ile unabisha tu unaanza kudemand hichi na hicho. Utatimuliwa ugenini!
Likes hizi unazozitaka zina umuhimu gani? Unajua huwa zinapatikanaje huku kwa Makapuku?
SalamaaaKumekuchaaa salama wakùu...
TupoNaona mpo wakuu
Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chakeSalamaaa