Mukongo mamboGudimoning family
Imetulia....marefa watakuwa walimsaidia kuweka rekodi maana tunaonaga kadi kibao za kijinga sasa kwake haguswi1960 - Gary Linaker anazaliwa.
Staa wa zamani wa timu za Leicester City, Tottenham na timu ya taifa ya England.
Anashikilia rekodi ya pekee ya kutowahi kupewa kadi ya aina yoyote katika Career yake ya soka.
Ni mfungaji wa tatu kwa historia katika timu ya taifa ya England akiwa na magoli 48.
Kwasasa ni mchambuzi maarufu wa soka katika BBC Match oF The Day.
Mlozi nae kwa sifa sio haba
Morning mkuu...Morning all kapuku
Mornie papaGudimoning family
Powa mutu ya MunguMukongo mambo
poa mkuuMusso check PM
........
No any card?1960 - Gary Linaker anazaliwa.
Staa wa zamani wa timu za Leicester City, Tottenham na timu ya taifa ya England.
Anashikilia rekodi ya pekee ya kutowahi kupewa kadi ya aina yoyote katika Career yake ya soka.
Ni mfungaji wa tatu kwa historia katika timu ya taifa ya England akiwa na magoli 48.
Kwasasa ni mchambuzi maarufu wa soka katika BBC Match oF The Day.
Thanks Bablai.....poa kama majukumu yanabanaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Albamu ya Thriller ya Wacko Jacko, nichukue fursa hii kuwaaga rasmi kuwa hii ndio " Leo katika Historia " ya mwisho kabisa toka kwa Mussolin5.
Segment hii imedumu kwa miezi kama mitano, hivyo kutokana na majukumu kunibana, nimpishe mwingine aendeleze segment hii pendwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu wote kwa kipindi chote hiko. Shukrani za pekee zimuendee mzee picha Bitoz ambaye alikuwa ananogesha segment hii kwa picha mujarabu.
Nitaendelea kubaki Kapuku Forum coz Once a Kapuku, Always Kapuku.
Niwatakie siku njema kwenu.
Morning MussoMornie papa
Yes, hakuwahi kuwa Booked kabisa...No any card?
Tunashukuru maana tumejifunza mengi.....najua hakuna atakayeendeleza gurudumu maana inaonekana watu wameridhikaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Albamu ya Thriller ya Wacko Jacko, nichukue fursa hii kuwaaga rasmi kuwa hii ndio " Leo katika Historia " ya mwisho kabisa toka kwa Mussolin5.
Segment hii imedumu kwa miezi kama mitano, hivyo kutokana na majukumu kunibana, nimpishe mwingine aendeleze segment hii pendwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu wote kwa kipindi chote hiko. Shukrani za pekee zimuendee mzee picha Bitoz ambaye alikuwa ananogesha segment hii kwa picha mujarabu.
Nitaendelea kubaki Kapuku Forum coz Once a Kapuku, Always Kapuku.
Niwatakie siku njema kwenu.
HBD George1944 - George Graham anazaliwa.
Kocha wa zamani wa Arsenal kutoka nchini Scotland.
Ndiye aliyemuachia mikoba Arsene Wenger pale Arsenal.