Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Ooooh nafurahi kukuonaSawa Quigley
Ooooh nafurahi kukuonaSawa Quigley
Poa poaPoa kabisa mkuu, mambo ndio mengi ubusy mwingi pia
Na mimi pia.....nimetoka huko duniani kuzunguka kidogoo nimejionea mambo ya kutishaaOoooh nafurahi kukuona
Naona mnazidi kuusongesha uzi
Niko poa, vp pande hizoMkuu uko poa
Marahabaaaa sacajo, za siku mingiShikamoon makapuku wenzangu
Kama kawa kama dawakemekucha harakati zinaendelea
Poa sanaNiko poa, vp pande hizo
AnasomaNaomben kupata ufafanuzi juu ya kauli ya waziri wa elimu......inamaana mtu aliyefaulu form 4 kwa division one au two akaenda kusoma diploma.....ina maana hawez kwenda kuchukua degree wakat O-level alikuwa vizur tuu
Sent from my LG-D605 using JamiiForums mobile app
Nzuri tuu.....naona upo kikaz zaidiMarahabaaaa sacajo, za siku mingi
Basi huko duniani watu wanapandikizana mambo ambayo siyooAnasoma
Sacajo kwema rafikiBasi huko duniani watu wanapandikizana mambo ambayo siyoo
Lazima ufanye mtihani wa form sixNaomben kupata ufafanuzi juu ya kauli ya waziri wa elimu......inamaana mtu aliyefaulu form 4 kwa division one au two akaenda kusoma diploma.....ina maana hawez kwenda kuchukua degree wakat O-level alikuwa vizur tuu
Sent from my LG-D605 using JamiiForums mobile app
Kwema.....za siku nyingiiSacajo kwema rafiki
Duuu....mbona nasikia waliopitia certificate ndio mwisho wao diploma...ila wa diploma waliotokea form 4 ni mwendo mdundooLazima ufanye mtihani wa form six
Let's take a brake na tuone itakuajeDuuu....mbona nasikia waliopitia certificate ndio mwisho wao diploma...ila wa diploma waliotokea form 4 ni mwendo mdundoo
Kweli kabisa wacha tusubiriLet's take a brake na tuone itakuaje