Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kigezo kipi kimetumika hapo kuibakisha Argentina kileleni
Angalia points .....
MTU anaweza kufungwa mechi 3 mfululizo lkn asishuke sababu bado ana point nyingi kuliko aliye chini yake

Mechi zote zinazotambuliwa na FIFA timu zinapewa point (win or draw),pia wa chini kumfunga aliye juu anapewa point kubwa

Mfano nchi ikijiunga leo FIFA basi itaanza na point

Hivyo zile point ni km likes zako za JF ...Leo ukipata likes 5000 halafu Mimi nipate 7 haimaanishi utakuwa juu yangu kwenye list ya TOP 10 sababu mimi tayari ninazo 80,000+
................
..........
 
Nimekupata mjanja wa Manzese
 
51e720ad7d188cb910a67edba5a3d782.jpg

v Feyernood
SAA 23:00
.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom