HBD Yakubu1982 - Yakubu Aiyegbeni anazaliwa.
Ni straika wa zamani Portsmouth, Middlesbrough, Everton na timu ya taifa ya Nigeria.
Alikosa goli la wazi kwenye kombe la dunia mwaka 2010 akiwa yeye na goli tu.
HBD Asamoah1985 - Asamoah Gyan anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Sunderland ambaye kwasasa anakipiga Uarabuni.
Anakumbukwa kwa kukosa penati ambayo kama angeshinda Ghana ingekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kuingia katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia.
HBD Pistorius, hivi ashaanza kutumikia kifungo chake?1986 - Oscar Pistorius anazaliwa.
Ni mwanariadha ambaye ni mlemavu kutoka South Africa.
1987 - Marouane Fellaini anazaliwa.
Ni mwanasoka wa Kibelgiji anayekipiga katika klabu ya Man Utd.
Anasifika kwa soka lake la kibabe.
HBD boys1989 - Chris Smalling anazaliwa.
Beki wa Man Utd na timu ya taifa ya Uingereza.
1985 - Asamoah Gyan anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Sunderland ambaye kwasasa anakipiga Uarabuni.
Anakumbukwa kwa kukosa penati ambayo kama angeshinda Ghana ingekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kuingia katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia.
R.I.P. JFK1963 - Rais John F. Kennedy anauliwa kwa kupigwa Risasi huko Texas akiwa katika gari ya wazi.
Leo ni miaka 53 toka kifo chake, ndio Rais wa Marekani wa mwisho kuuliwa akiwa Madarakani.
Thanks PapaaLeo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie siku njema.
1986 - Oscar Pistorius anazaliwa.
Ni mwanariadha ambaye ni mlemavu kutoka South Africa.
kwema mkuuu, niaje kipande hiko?Furesh Bablai, za Asubuhi?
sijajuaHBD Pistorius, hivi ashaanza kutumikia kifungo chake?
ndio hao haoHawa si ndio walisema wao ni maarufu kuliko Jesus!!!
1989 - Chris Smalling anazaliwa.
Beki wa Man Utd na timu ya taifa ya Uingereza.
Amefanana na Dimitar Berbatov
Beki kilaza, bora hata Juuko Murshid.
Kidogo=smallingBeki kilaza, bora hata Juuko Murshid.
1987 - Marouane Fellaini anazaliwa.
Ni mwanasoka wa Kibelgiji anayekipiga katika klabu ya Man Utd.
Anasifika kwa soka lake la kibabe.
1963 - Rais John F. Kennedy anauliwa kwa kupigwa Risasi huko Texas akiwa katika gari ya wazi.
Leo ni miaka 53 toka kifo chake, ndio Rais wa Marekani wa mwisho kuuliwa akiwa Madarakani.