shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Morning QuigleyMorning
Morning QuigleyMorning
Mambo yote fubaWako biz kusaka fuba
Kitabu vpNiajeni jamani
AiseeNipo ndugu,ubize tu ila muda si mrefu nitapotea kabisa.
poa vipiKitabu vp
Poa shululu, kwema huko?Morning Quigley
KweliMambo yote fuba
Nimefanikiwa kumfotoa ila kwa kazi kubwa inenilazimu kununua lunch ya buku tano na mm nikashindia mihogo ya jeroHebu mfotoe[emoji12]
Jaman umemfotoa linii naona hii picha ilipigwa 2014 ....usitufanyiee hivooNimefanikiwa kumfotoa ila kwa kazi kubwa inenilazimu kununua lunch ya buku tano na mm nikashindia mihogo ya jeroView attachment 437335
Kanitumia picha whtsup baada ya kumpa lunch na kanambia anatafta kazi za ndani nimemfungulia uzi uko mwenye kuitaji kumwajiri amsaidieJaman umemfotoa linii naona hii picha ilipigwa 2014 ....usitufanyiee hivoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimefanikiwa kumfotoa ila kwa kazi kubwa inenilazimu kununua lunch ya buku tano na mm nikashindia mihogo ya jeroView attachment 437335
Ona tarehe kwenye hiyo picha[emoji12]Nimefanikiwa kumfotoa ila kwa kazi kubwa inenilazimu kununua lunch ya buku tano na mm nikashindia mihogo ya jeroView attachment 437335
Unaenda gambosh???Nipo ndugu,ubize tu ila muda si mrefu nitapotea kabisa.
Poa Shululu, mitkasi vipi???Mambo mukongo
Samahani Mr. Wenger[emoji22]Majungu kazini
Hapana,kusoma!Unaenda gambosh???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Abroad or?Hapana,kusoma!