Morning liviMorning all
Uko poa mkongo??Morning livi
Au sababu ni blue Monday ???Jamani Mbona watu hawatoi likes? Hapa ni toa likes pata likes that's our song.![]()
Sijui bhana, naona watu hawana likes kabisa, mpaka nikajiuliza nipo jukwaa gani!!!Au sababu ni blue Monday ???
Niko poa liviUko poa mkongo??
Apoo sawa mkuu...ngoja tumalizie foleni tuone kama Siku itaishaaNiko poa livi
Siku hizi makapuku wenzangu sijui ubizee au nini???Sijui bhana, naona watu hawana likes kabisa, mpaka nikajiuliza nipo jukwaa gani!!!
Kumepoa sana huku, mambo ya kusaka dough nadhani!!!Siku hizi makapuku wenzangu sijui ubizee au nini???
Kumepoa sana huku, mambo ya Magu nadhani!!!
wengine tushazoeaaa hatuna namna ...
Ahaaaaaaaaaah kwelii mkongooHakuna magazeti yanayokuaga na stori tamu kama magazeti ya Maandazi au vitumbua..... unasoma unakuta Arsenal inaongoza Premier league.. ukiangalia date, ni April 2004
![]()
![]()
![]()
![]()
MorningMorning all
Hello mujamaaMorning livi
Wako biz kusaka fubaJamani Mbona watu hawatoi likes? Hapa ni toa likes pata likes that's our song.![]()
Hello mujamaa
Niambie kaka
Poa sana rafiki, habari za huko ulikoNiambie kaka