Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Huku kwema, life linasongaPoa sana rafiki, habari za huko uliko
Huku kwema, life linasongaPoa sana rafiki, habari za huko uliko
Nashukuru kusikia hivyoHuku kwema, life linasonga
Loooooh kichumaa ....Aisee kama nimechanganyikiwa flan ivi nimekutana demu apa cjui ni jini mzuri kupitiliza ngoja nimalize chapati yangu na maharage ya 300 nikajaribu bahati

Hebu mfotoeAisee kama nimechanganyikiwa flan ivi nimekutana demu apa cjui ni jini mzuri kupitiliza ngoja nimalize chapati yangu na maharage ya 300 nikajaribu bahati

Asantee Quigley
Poa the KitabuNiajeni jamani
Kitabu umeadimikaaaNiajeni jamani
Nipo ndugu,ubize tu ila muda si mrefu nitapotea kabisa.Kitabu umeadimikaaa
Muhimu uzima ...yote memaNipo ndugu,ubize tu ila muda si mrefu nitapotea kabisa.
Mambo mukongoNiko poa livi
Ubizee sana aiseeSiku hizi makapuku wenzangu sijui ubizee au nini???
Majungu kaziniHakuna magazeti yanayokuaga na stori tamu kama magazeti ya Maandazi au vitumbua..... unasoma unakuta Arsenal inaongoza Premier league.. ukiangalia date, ni April 2004
![]()
![]()
![]()
![]()