Aisee kama nimechanganyikiwa flan ivi nimekutana demu apa cjui ni jini mzuri kupitiliza ngoja nimalize chapati yangu na maharage ya 300 nikajaribu bahati

Hakuna magazeti yanayokuaga na stori tamu kama magazeti ya Maandazi au vitumbua..... unasoma unakuta Arsenal inaongoza Premier league.. ukiangalia date, ni April 2004