Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Tunajipanga vzr kutokea uku ili tukipelekwa mahakamani tuwe fitiUnamaainisha nini?
Umeapply LAW OF CONTRACT kwenye mitandao ya kijamii......
.......
Morning QuigleyMorning family
HakikaNi siku nyingine njema tumepewa
AleluyaYatupaswa kumshukuru aliye juu
Mpaka sasa bado ufalme unaendelea1942 - Mutesa II anaapishwa kuwa Kabaka wa 35 ( Mfalme ) wa mwisho wa iliyokuwa Buganda Kingdom.
1933 - Larry King anazaliwa.
Ni mwandishi mashuhuri na mkongwe anayefanya kazi katika kituo cha CNN huko Marekani.
Moja kati ya vipindi vyake ni Larry King Live.
Kwa nini Wayahudi waliuwawa sana miaka ya nyuma, nini kilisababisha?1943 - Katika Gereza la mateso la Janowska huko magharibi mwa Ukraine, Jeshi la Nazi laua Wayahudi takribani 6000 baada ya Jaribio la kutoroka kushindikana.