Kila zama hupita, wako wapi kina Hitler na
Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular
Akina Ngedere na mwana wa Mchawi walivyo vidomodomo kazi wanayo
.....
UDAKU wnapoandika siasa...............Eti mama Anna Mghwira anaswa akitembea kwa miguu usiku......nyambafu sijui usiku alitakiwa atembee kwa mikono?
AogeleeEti mama Anna Mghwira anaswa akitembea kwa miguu usiku......nyambafu sijui usiku alitakiwa atembee kwa mikono?
Usikate tamaa ktk maisha, kesho waweza kuwa mtu mwingine
Niliisoma,wanaoletaga humu taarifa za chap chap sijui inabidi wapewe kibali.
Ndo naisoma hiyo Sheria ya magumashi kifungu kwa kifungu yaani ipo ovyooooo
........
Usikate tamaa ktk maisha, kesho waweza kuwa mtu mwingine
Niliisoma,wanaoletaga humu taarifa za chap chap sijui inabidi wapewe kibali.
Usichore kikaragosi chenye kuleta udhalilishaji au uchochezi............
Kibali chenyewe labda za kunyea chooni
Mpango wa kuwa blogger nishaachana nao maana mitandao ishavamiwa
Wamezikwida hadi Katuni
........
Hapo wamemlenga "Kirat" maana anamchora "bwana yule" akiwa na kichwa kubwa zaidi ya tofaliUsichore kikaragosi chenye kuleta udhalilishaji au uchochezi............
Ila zile zako hazihusiki,.
KUTOKUJIAMINI full stop!!!Hapo wamemlenga "Kirat" maana anamchora "bwana yule" akiwa na kichwa kubwa zaidi ya tofali
Najua zile za vichekesho havihusiki sema week hii mambo tight
......
Endelea kujiamini kumbuka mbele ya LAW/ACT hakuna majaribioKUTOKUJIAMINI full stop!!!
Hujanielewa! Hao watunga sheria ndio HAWAJIAMINIEndelea kujiamini kumbuka mbele ya LAW/ACT hakuna majaribio
. ........