Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Magazeti ya mwanzo yote yamefutwa.Imekuwaje tena?
sijui kwasababu ya udaku......
Magazeti ya mwanzo yote yamefutwa.Imekuwaje tena?
Bwana yule keshampa kijana wake wa bao la Maradona umoderator tangu janaMagazeti ya mwanzo yote yamefutwa.
sijui kwasababu ya udaku......
Unaweka then wanafuta???Humu kuna mtu anafuta magazeti?

Bwana yule keshampa kijana wake wa bao la Maradona umoderator tangu jana
![]()
![]()
![]()
.. ...
Nimeyaona au sio hayo? Hebu cheki!!!Mara ya kwanza nilikuwa naweka nikirudi hayapo..............
Na ID zote za Wacongo kufutwa hamna haki ya kuchangia thread tenaUnaweka then wanafuta???![]()
Papaa mimi iko Mpale wa Lombo!Na ID zote za Wacongo kufutwa hamna haki ya kuchangia thread tena
![]()
![]()
![]()
....

Nimefanya replay tena..........Nimeyaona au sio hayo? Hebu cheki!!!
Uchochezi!!!Nimefanya replay tena..........
ETI MKULU KAKOSAJE FOBESI?
SI ALIKUWA ANAONGOZA😱😱😱😱😱


Hakikisheni mnatumia majina ya mafumbo mfn Makondakta Chaumbea,Bwana yule ,Kasimu Kamajaliwa n.kNimefanya replay tena..........
ETI MKULU KAKOSAJE FOBESI?
SI ALIKUWA ANAONGOZA😱😱😱😱😱
Aliyefunga goli la Maradona kapewa rungu magazetini,TV,radio hadi social mediaPapaa mimi iko Mpale wa Lombo!![]()
Huyo makondakta chaumbea anasema kaletwa na makusudi ya mungu na ataondoka kwa makusudi yake.Hakikisheni mnatumia majina ya mafumbo mfn Makondakta Chaumbea,Bwana yule ,Kasimu Kamajaliwa n.k
La sivyo usijadili polifix maana jela inakuita
......
.
Labda mungu mchunga ng'ombeHuyo makondakta chaumbea anasema kaletwa na makusudi ya mungu na ataondoka kwa makusudi yake.
Sasa sijui Mungu yupi😱😱😱😱😱
Hakika bila hivyo kutakuwa na shida!!! Hapa ni mafumbo kwenda mbeleHakikisheni mnatumia majina ya mafumbo mfn Makondakta Chaumbea,Bwana yule ,Kasimu Kamajaliwa n.k
La sivyo usijadili polifix maana jela inakuita
......
.
Kila zama hupita, wako wapi kina Hitler naAliyefunga goli la Maradona kapewa rungu magazetini,TV,radio hadi social media
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Na ID zote za Wacongo kufutwa hamna haki ya kuchangia thread tena
![]()
![]()
![]()
....

Maajabu yanaendajeHuyo makondakta chaumbea anasema kaletwa na makusudi ya mungu na ataondoka kwa makusudi yake.
Sasa sijui Mungu yupi😱😱😱😱😱
Akina Ngedere na mwana wa Mchawi walivyo vidomodomo kazi wanayoHakika bila hivyo kutakuwa na shida!!! Hapa ni mafumbo kwenda mbele
Morning mkuuGoodmorning family