Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dada mmoja alienda kununua kasuku akiwa amevaa mavazi ambayo yanamuacha nusu uchi. Alipofika kwa muuzaji akamkuta kasuku mzuri. Kabla hajamnunua akamjaribisha kwanza kama anaweza kuongea… So akamuuliza Kasuku, “Vp muonekano wangu.. naonekanaje?” Kasuku akajibu “Kama Kahaba”

Yule dada akakasirika, akamuambia muuzaji siwezi kumnunua kasuku wako kwa sababu hana adabu, labda umrerkebishe. Jamaa akamwambia yule dada subiri.. akamchukua kasuku akaenda nae ndani akamlowesha kwenye ndoo ya maji baridi… Kasuku akaomba msamaha.. Jamaa akamwambia “Sasa nakurudisha kwa yule dada, ukimjibu tena vibaya nakulowesha tena”

Aliporudi yule dada akamwuuliza Kasuku “Haya ngoja nikuulize tena… nikija na mwanaume mmoja nyumbani kwangu utasema ni nani?”

Kasuku: Mumeo

Dada: Wakiwa wawili??

Kasuku: Nitasema ni mumeo na mdogo wake yani shemeji yako

Dada: Wakiwa watatu?

Kasuku: Mumeo na mdogo wake na kaka yako.

Dada: Wakiwa wanne?

Kasuku: Boss tafadhali leta ndoo ya maji, Nshakuambia huyu ni Kahaba.!
 
teh teh teh
 
1479315703891.jpg
 
Pambaf weye
 
Kumi bora wapi?
 
Zuberi alimpa ujauzito mwanafunzi
akashtakiwa.
Kumbe Zuberi ana bibi
yake mtaalamu wa yale mambo yao
ya Sumbawanga, akampachika Zuberi
jinsia ya kike alipofika mahakamani
kuhojiwa Zuberi akasema sijampa ujauzito kwani mimi nina jinsia ya kike.
Kwa kuthibitisha Zuberi akajifunua
nguo basi akashinda kesi, kufika
nyumbani Zuberi akawakuta watu
wamejaa wanalia, akauliza kulikoni?
Akaambiwa bibi yako amefariki.
Zuberi akawa Zubeda
 
Dada mmoja alienda kununua kasuku akiwa amevaa mavazi ambayo yanamuacha nusu uchi. Alipofika kwa muuzaji akamkuta kasuku mzuri. Kabla hajamnunua akamjaribisha kwanza kama anaweza kuongea… So akamuuliza Kasuku, “Vp muonekano wangu.. naonekanaje?” Kasuku akajibu “Kama Kahaba”

Yule dada akakasirika, akamuambia muuzaji siwezi kumnunua kasuku wako kwa sababu hana adabu, labda umrerkebishe. Jamaa akamwambia yule dada subiri.. akamchukua kasuku akaenda nae ndani akamlowesha kwenye ndoo ya maji baridi… Kasuku akaomba msamaha.. Jamaa akamwambia “Sasa nakurudisha kwa yule dada, ukimjibu tena vibaya nakulowesha tena”

Aliporudi yule dada akamwuuliza Kasuku “Haya ngoja nikuulize tena… nikija na mwanaume mmoja nyumbani kwangu utasema ni nani?”

Kasuku: Mumeo

Dada: Wakiwa wawili??

Kasuku: Nitasema ni mumeo na mdogo wake yani shemeji yako

Dada: Wakiwa watatu?

Kasuku: Mumeo na mdogo wake na kaka yako.

Dada: Wakiwa wanne?

Kasuku: Boss tafadhali leta ndoo ya maji, Nshakuambia huyu ni Kahaba.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom