Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Unalala na nani??Wazima, tunalala sasa
Unalala na nani??Wazima, tunalala sasa
Haya![]()
Usiku mwema
OkMie napita tu, nimewamiss tu. Muwe na usiku mtulivu wapendwa![]()
![]()
![]()
Sawanajua mko poa humu
Nosalimieni jimena
Ndiohumu wazima?
View attachment 433236
Hao ni wanaume au mbwa??Wanaume bwanaaaaaaaaaaaaaaaa![]()
Morning Mr QUIGLEYMorning family
Hello liviMorning Mr QUIGLEY
Yes QUIGLEY ...hope umeamka salama pamoja na wapendwa wako woteHello livi
Sawa sawa ...shukrani kwa kutukumbusha..ubagarikiqe sanaKumekucha salama ..wale wenzangu na mimi sio mbaya tukamkumbuka muumba wetu kwa kuhudhuria ibada
Amina amina baba mtumishiMlioamka mkiwa mnaumwa poleni, mliofiwa na wapendwa wenu poleni, mliokata tamaa ya maisha poleni na tegemeo lenu mliweke kwa Mungu
Asante mkuuSawa sawa ...shukrani kwa kutukumbusha..ubagarikiqe sana
Morning QuigleyMorning family
Hamna tabuAsante mkuu
Mie sio baba ni mama jamani sema nina jina gumu tuAmina amina baba mtumishi
