Huyu nae alikuwa kichwa hatariTop Ten Writters/Authors of All time.
1.William Shakespeare;
(Aprili 1564 - 23 Aprili 1616) alikuwa mwandishi mashuhuri nchini Uingereza.
Waingereza mara nyingi humtazama kuwa mwandishi mkuu wa lugha yao. Aliandika hasa maigizo na tamthiliya. Alifanya pia kazi ya uigizaji.
Mwandishi huyo akiwa mdogo alikuwa anapenda kusoma sana hadithi mbalimbali ambazo zilikuwa zimeandikwa kwa lugha ya Kilatini. Shakespear alisoma zaidi kazi za wanafalsafa wakongwe wa Kigiriki Aristotle na Plato, pia alipenda sana teolojia.
Maigizo yake hupangwa katika vikundi vya:
Kutokana na wingi wa kazi na mada, wataalamu wengine hawakubali ya kwamba maandiko yote yanayojulikana kama ya "Shakespear" yameandikwa na mtu yeye yule, lakini walio wengi wameridhika ya kwamba huyu Shekespear wa kihistoria mwenyewe alikuwa mwandishi wa hayo yote.
Kati ya maandiko yake mashuhuri ni kama:
Michezo Tanzia
Tamthiliya za Kuchekesha
Tamthiliya za Kihistoria
[/URL]
- [URL='https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Richard_III_%28tamthiliya%29&action=edit&redlink=1']Richard III
Mchezo tanzia "Julius Caesar" pamoja na tamthiliya ya kuchekesha "The Merchant of Venice" vimetafsiriwa na Mwalimu Julius Nyerere kwa lugha ya Kiswahili ("Julius Kaisari" na "Mabepari wa Venisi")
Shem langu mambo!Nzuri sana ndugu yangu . Nafurah kuona bado mnasogeza gurudumu la kf
Ahsante piaAsante kwa historia mwenyekiti
Poa shemShem langu mambo!
Tupo ndugu yanguNzuri sana ndugu yangu . Nafurah kuona bado mnasogeza gurudumu la kf
Niko poa sana, huko kwema?Poa shem
Habar ya ww
Pamoja sanaTupo ndugu yangu
Upo kijanaHello family ..how have You been?
Oui bone nuit mensiurBone nuit
Usipotee hivyo aiseePamoja sana
Yupo sanaa, taarifa nilimpa
Haina mbaya nkipata mwanya kama Hiv lazma nipite humu ndaniUsipotee hivyo aisee