Makapuku Forum

Makapuku Forum

1961 - Enzo Fransescoli anazaliwa.

Kiungo mchezeshaji wa zamani wa Marseille, Torino na rimu ya taifa ya Uruguay.

Anatajwa kama mchezaji bora wa kizazi chake. Uwezo na ufundi wake ulimfanya Zidane achukue jina la nyota huyo na kumpa mwanae ajulikanae kama Enzo Zidane anayekipiga Real Madrid B.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom