1986 - Samuel Wanjiru anazaliwa.
Alikuwa ni mwanariadha wa mbio ndefu za Marathon toka nchini Kenya.
Alishinda medali ya dhahabu katika michezo ya olimpiki mwaka 2008.
Alifariki dunia mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 24 baada ya kujirusha kwenye ghorofa lake huko Nairobi.
1992 - Wilfred Zaha anazaliwa.
Winga wa Crystal Palace na timu ya taifa ya Uingereza.
Alichemsha vibaya aliposajiliwa klabuni Man Utd.
Alikuwa ni mchezaji wa mwisho kabisa kusajiliwa na Kocha Sir Alex Ferguson klabuni Man Utd kabla ya kocha huyo kustafu.
Yah, alicheza kila dakika katika msimu ule waliochukua ubingwa bila kufungwa.
Alikuwemo kwenye kikosi kilichomaliza ligi bila kufungwa sijui 2003/04)
....
2003 - Canaan Banana anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Zimbabwe.
Shukran, Na kwako piaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Jimena Jimenez a.k.a Iron Lady.
Siku njema.
2009 - Robert Enke anajiua.
Ni golikipa wa zamani wa Barcelona, Benfica, Hanover 96 na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alifariki akiwa na miaka 32 tu.
1483 - Martin Luther anazaliwa.
Ni kiongozi na mwasisi wa kanisa la Protestant.
pamoja mkuuShukran, Na kwako pia
Utakufikia tuMbona Mimi sikuusikia mtetemo?
Poa shululu, habari za darUmeamkaje pande hizo
Kwema livi, mzima?Na sisi tunakusalimiaa..kwema ukoo
Poa jonaxHabari zenu?
KitamboLeo Katika Historia:
1983 - Bill Gates anatambulisha window 1.0
Daah huyu ndo jonax nini!
Nzuri aisee
......
Hebu nipe dondoo kidogo unakuwajeUtakufikia tu
Bitoz huyu hapa kocha wake akim-trainDaah huyu ndo jonax nini!
Poa jonax
Bitoz huyu hapa kocha wake akim-trainView attachment 432060
[emoji2] mwenyewe kasema "aulizwe swali lolote atajibu"
Bora tu urudi kwa ngariba ukajibiwe maswali yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......