Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,400
[emoji12] we jamaa hv hz storry haziishi tu?
1985 - Aleksandar Kolarov anazaliwa.
Ni beki wa kushoto wa Man City na timu ya taifa ya Serbia.
Anasifika kwa uwezo wake wa kupiga mashuti yenye kulenga goli.
[emoji12] we jamaa hv hz storry haziishi tu?
Nilikuwa napita hapa Makapuku kimya kimya, huku nikisubiri upepo uishe. LAKINI UMEONA HAITOSHI BADO UNANIANDAMA
1973 - Patrik Berger anazaliwa.
Ni kiungo wa zamani wa Borussia Dortmund, Liverpool, Aston Villa na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
1969 - Jens Lehman anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani.
Poa hujambo dggHabari zenu?
1969 - Faustino Asprilla anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Newcastle United, Parma na timubya taifa ya Colombia.
Mbona Mimi sikuusikia mtetemo?Dunia sasa ime shake kwa ujio wa Trump
Thijambo dogPoa hujambo dgg
Msela[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]1978 - Eve anazaliwa.
Ni rapa wa muziki toka nchini Marekani.